Saturday, May 2, 2015

Send off ya Flora Nicodemus Mnguli iliyofanyika tar 30/04/2015 katika ukumbi wa Delux Sinza, Dar es salaam

Flora akiwa salon



Flora akiwa katika pozi



Flora akiwa katika pozi





Flora akiwa katika pozi






Flora akiwa katika pozi





Flora akiwa katika pozi

Flora akiwa na msimamizi wake



Flora akiwa na msimamizi wake

Msimamizi wa Flora


Ukumbini



Flora akiingia ukumbini


Flora akiwa katikati ya wageni waalikwa wakicheza kitambaa cheupe

flora akiwa ukumbini na msimamizi wake

Flora akijitambulisha ukumbini

cake

Flora akiwasha mshumaa wa cake

Flora akikata cake

Flora na msimamizi wake wakilishana cake

Flora akimpa mama mkwe wake cake


Flora akiwapa wanakamati cake

wanakamati


Mc akifungua champagne

Flora akigongea champagne na msimamizi wake



flora akikata ndafu

Flora akilishana ndafu na msimamizi wake

Flora akimlisha mama yake ndafu

Flora akimlisha mama mkwe wake ndafu

Flora akimtambulisha mume wake mtarajiwa




Flora akichukua chakula na mume wake mtarajiwa

Flora na mume wake mtarajiwa wakiwa katika pozi


Flora akiwa na msaidizi wake

Sanduku na zawadi kutoka ukweni

No comments:

Post a Comment