Monday, December 1, 2014

Usiku wa Anna, sherehe iliyofanyika tar 26/11/2014 ukumbi wa Malanta hall, Msimbazi Centre

Mama mzazi wa Anna




Dada wa Anna


Anna akiwa katika pozi




Anna akiwa katika pozi




Anna akiwa katika pozi





Anna akiwa katika pozi




Msimamizi wa Anna



Anna na msimamizi wake


Anna akiwa katika pozi



Anna akiwa katika pozi



Anna akiwa na msimamizi wake, Dada yake na mama yake

Anna akiwa na mama yake





Anna akiwa na dada yake pamoja na mama yao mzazi


Anna akiwa katika pozi


ukumbini

wasimamizi wa Anna



cake

Anna akikata cake


Anna akilishwa cake na mama yake mzazi

Anna akipeleka cake kwa mama mzazi

Anna akimkabidhi cake mama yake


Anna akimlisha cake msimamizi wake

Anna akipeleka cake kwa wazaz wa mume wake


wazazi wa mume wakikabidhiwa cake

wanakamati wakinyanyua cake

kaka akitoa wosia kwa mdogo wake Anna

Mama akitoa wosia wa Anna

muziki ukumbini



Anna na msimamizi wake wakiwa na champagne


Anna na msimamizi wake wakinywa champagne



Anna akimtambulisha mume wake mtarajiwa


Anna akimvisha zawadi ya saa mume wake




Anna na mume wake mtarajiwa wakiwa katika pozi


Anna na mume wake mtarajiwa wakichukua chakula


Anna na mume wake mtarajiwa wakiwa katika pozi




wazazi katika picha ya pamoja

Anna akiaga kutoka ukumbini

No comments:

Post a Comment