Gauni la Bi. Harusi |
Viatu vya Bi. harusi na mkufu |
Ua la Bi. Harusi |
Bi. Harusi Jane ndani ya vazi la shera |
Ndani ya kanisa |
Jane na Nicodemus |
Pete ya Jane na Nicodemus zikibarikiwa |
Nicodemus anamvisha pete Bi. Harusi Jane |
Nicodemus anamvisha pete Bi. Harusi Jane |
Pete za maharusi |
Bi. Harusi anamvisha pete bwana harusi Nicodemus |
Bwana harusi akipewa komunio |
Bi. harusi akinywa Divai |
|
Bi. harusi Jane akipokea komunio |
Madada wa Bwana harusi ndani ya kanisa |
Maharusi wakionesha pete zao |
Bwana Harusi akipokea cheti cha ndoa |
Picha ya pamoja na padri wakionesha vyeti vyao |
madada wa bwana harusi wakishangilia kwa furaha |
Bwana na Bi. Harusi wakitoka kanisani |
Maharusi wakiwa wamepozi |
cake ya harusi |
ndani ya ukumbi |
maharusi wakiwa na mjomba wa bwana harusi |
Maharusi wakiwa na ndugu zao wa karibu |
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao |
maharusi wakiwa na wazazi wa bi harusi |
maharusi wakiwa na ndugu wa Bi. harusi |
Maharusi wakiwa na na kaka wa Bwana harusi na mke wake |
bi. harusi na wasimamizi wake |
Maharusi pamoja na wasimamizi wao |
Bwana na Bi harusi wakiwa na ndugu zao |
Bi. harusi na wasimamizi wake |
Bi. harusi jane katika pozi |
wasimamizi wakiwa katika pozi |
madada wa bwana harusi wakicheza mziki |
kamati ya harusi |
Maharusi wakiwa na kamati |
Madada katika pozi |
Maharusi wakiwekewa champagne |
Madada wa Bwana harusi na Bi harusi |
maharusi wakicheza mziki |
Ukumbini |
Baba mlezi akimkabidhi bwana harusi silaha ya jadi |
Baba Mlezi Aaron akitoa nasaha |
Bwana harusi akivishwa vazi la jadi |
Bi harusi akikabidhiwa jembe na mama yake mdogo |
Maharusi wakiwa na marafiki aliosoma nao bwana harusi |
dada wa bwana harusi akipewa zawadi |
Msimamizi wa bi harusi akiwa katika Pozi |
Bi harusi Jane katika pozi |
Bi harusi Jane katika pozi |
Bi harusi akiwa na msimamizi wake |
Bwana harusi akiwa amembeba Bi harusi Jane |
Maharusi wakiwa katika pozi |
Bi harusi Jane katika pozi |
Bwana harusi Nicodemus katika pozi |
Bi harusi Jane katika pozi |
Bwana harusi akiwa na ndugu zake |
Bwana harusi akiwa na kaka yake Mwambi |
Maharusi wakiwa na dada wa bwana harusi |
Msimamizi wa bwana harusi, Nicholaus |
No comments:
Post a Comment