Sunday, November 24, 2013

Sherehe ya Ritha, Mahali na Pete- Kitchen Party nyumban kwao Mbezi na Sendoff iliyofanyika Kunduchi Beach Hotel tar 23/11/2013

Ritha nyumban kwao Mbezi siku ya Mahali na pete



David akitambulishwa siku ya mahali na pete

Wazazi wa Ritha wakiongea

Ritha akiwa na dada yake

Ritha katika pozi


Ritha katika pozi

David na Ritha 


David na Ritha 

David na Ritha 

David akimvisha pete Ritha


Ritha akionesha pete

Ritha akiwa na rafiki zake

Ritha akiwa na rafiki yake

Picha ya Ritha ikiwa juu ya cake nyumban kwao mbezi

cake

Ritha akiziwa katika pozi


Ritha akiziwa katika pozi

Ritha akiziwa katika pozi

Ritha akiwa na msimamizi wake


Ritha akiwa na msimamizi wake


eneo lililoandaliwa kukaa Ritha

Ritha akiwa katika furaha


Add caption

Ritha akiwa na dada yake Emelda

Ritha mbele ya cake

Ritha akilishwa cake na msimamizi wake

Ritha akiwa na msimamizi wake


Ritha akiwa na msimamizi wake

Ritha na Emelda wakiwa na mama yao

Ritha akiwa na mke wa mjomba wake

Mama mzazi wa Ritha

Ritha na msimamizi wake katika furaha


Eneo alilokaa Ritha siku ya sendoff Kunduchi beach hotel


Mchuimba wa Ritha, David

Cake

Wasimamizi wa Ritha wakiingia ukumbini na gari

Wasimamizi wa Ritha ndani ya ukumbi 

Gari iliyombeba Ritha ikiingia ukumbini

Ritha ndani ya ukumbi


Ritha ndani ya ukumbi

Ritha na vazi lake akiwa ukumbini

Ritha na msimamizi wake wakiwa ukumbini


sherehe ikianza rasmi ukumbini

Ritha akiwa ametulia na vazi lake


Ritha na dada yake Emelda ukumbini


Ritha akikata cake na wasimamizi wake

Ritha akilishwa cake

Ritha akilishwa cake

Ritha akitoa cake kwa wazazi wake

Ritha akitoa cake kwa baba mkwe wake

Ritha na wasimamizi wake wakigongeana champagne

Ritha akinywa champagne na wasimamizi wake

Ritha akipiga makofi akifurahia yaliyozungumzwa na wazazi wake

wazazi wa Ritha wakionesha zawadi ya biblia

Ritha akikabidhiwa biblia na mama yake

Ritha na David


Ritha na David wakati wa chakula

Picha ya pozi, Ritha na David

Picha ya pamoja ya marafiki zao, Ritha na David

Ritha akimpa baba yake zawadi

Ritha akimpa mama yake zawadi

Ritha akimpa zawadi dada yake

Ritha akimpa zawadi dada yake

Ritha akimpa zawadi mchumba wake David

Ritha na wanakamati

No comments:

Post a Comment