Tuesday, June 4, 2013

Harusi ya Eric F. Mkumbo na Sarah W. Kafuko kanisa la Bikira Maria Mama wa Huruma Mbezi tar. 11/05/2013 na sherehe kufanyika Kiramuu Hall, Mbezi

Bi. harusi Sarah akipambwa saloon 



Bwana harusi Eric na Bi harusi Sarah wakiwa kanisani


Bwana harusi Eric akimvisha pete mke wake Bi harusi Sarah



Bi. harusi Sarah akimvisha pete mme wake Bw. Eric

Bwana  na Bi harusi wakifurahi baada ya kuvalishana pete

Bwana harusi akisaini cheti cha ndoa

Bi harusi akisaini cheti cha ndoa

Bwana na Bi harusi wakionesha vyeti vyao vya ndoa

Bwana na Bi harusi wakiwa na wazazi wao


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

Bwana na Bi harusi wakiwa katika pozi

Bwana na Bi harusi wakiwa katika pozi


Bwana na Bi harusi wakiwa wanapigana busu

Maharusi wakiwa katika pozi na wasimamizi wao

Maharusi wakiwa katika pozi na wasimamizi wao

Bi harusi Sarah akiwa katika pozi

Bi harusi Sarah akiwa katika pozi

Bwana na Bi harusi wakiwa katika pozi


Bwana na Bi harusi wakiwa katika pozi


Bi harusi Sarah akiwa kaatika pozi


Bi harusi Sarah akiwa kaatika pozi


Bi harusi Sarah akiwa kaatika pozi

Bwana harusi Eric akiwa kaatika pozi


Bwana harusi Eric akiwa kaatika pozi

Bwana harusi Eric akiwa na msimamizi wake

wasimamizi wakiwa na Bi harusi Sarah

wasimamizi wakiwa na Bi harusi Sarah

Bwana harusi Eric akiwa na wasimamizi


Bwana harusi Eric

Bi harusi Sarah


Bi harusi Sarah

Bi harusi Sarah akiwa na wasimamizi wake

Bwana na Bi harusi wakiwa na wasimamizi


Best man akiwa na wasimamizi

Eric na mke wake Sarah

cake ya harusi

zawadi kwa waalikwa

Bi harusi Sarah akinywa mbege

Bwana harusi Eric akinywa mbege

Maharusi wakiwa ndani ya hall na wasimamizi wao

wafungua champagne

champagne ikifunguliwa

Maharusi wakigongeana glass ya champagne

Maharusi wakinywa champagne

Maharusi wakikata cake ya harusi

Bwana harusi Eric akimlishwa mke wake Sarah cake

Bi harusi Sarah akimlisha cake mme wake Eric

Mwenyekiti akionesha cake ya harusi

Baba mkwe akimlisha Sarah nyama ya ndafu

maharusi wakilishana ndafu

maharusi wakilishana ndafu

waalikwa wakicheza mziki




Maharusi wakifungua mziki

maharusi wakicheza mziki


maharusi wakicheza mziki


maharusi na waalikwa wakicheza mziki

No comments:

Post a Comment