Saturday, May 4, 2013

Ndoa ya Lilla Faraj na Alafa Komba iliyofanyika tar. 26/04/2013 kimara Bonyokwa na sherehe kufanyika tar 28/04/2013 Mwenge Social Hall

Bwana harusi Lilla Faraj



Bwana harusi Lilla Faraj


Bi. harusi Alafa komba

Bi harusi Alafa akipambwa

Mapambo miguuni

Bi harusi Alafa


Bi harusi Alafa




Bi harusi Alafa



Bi harusi Alafa



Bi harusi Alafa



Bi harusi Alafa




Bwana harusi Lilla akifungishwa ndoa

Bwana harusi Lilla akifungishwa ndoa



Bwana harusi Lilla akimsomea dua mke wake Alafa


Bwana harusi Lilla akiwa amepozi namke wake Alafa


Bwana harusi Lilla akiwa amepozi namke wake Alafa


Bwana harusi Lilla akimbusu mke wake Alafa

Bwana harusi Lilla akiwa amepozi namke wake Alafa


Bwana harusi Lilla akiwa amepozi namke wake Alafa


Chakula kilichoandaliwa kwa  ajili ya solo siku ya ndoa

Bi. harusi Alafa

Jukwaa la maharusi ukumbini, Mwenge social hall

Bwana harusi na Bi  harusi wakiwa ukumbini

maharusi Wakiwa na wasimamizi wao

Bi. harusi Alafa akitambulishwa ukumbini

Bwana harusi lilla akitambulishwa ukumbini

Bwana harusi Lilla na Alafa wakiwa meza kuu

Msimamizi wa bwana harusi

Msimamizi wa Bi.harusi

keki ya maharusi

Bwana na Bi harusi wakikata keki

Bwana harusi Lilla akimlisha keki BI harusi Alafa

champagne ikifunguliwa

wakiinua mvinyo wa champagne juu

Bwana harusi Lilla akiwa amepozi namke wake Alafa


Bwana harusi Lilla

Bi harusi Alafa

Maharusi Lilla na Alafa wakicheza mziki


Maharusi Lilla na Alafa wakicheza mziki



Maharusi wakiwa wanatembea ukumbini na wasimamizi wao

No comments:

Post a Comment