Tuesday, March 4, 2014

Harusi ya James Lucas na Glory Sagaswe iliyofanyika tar 14/02/2014 kanisa la TAG Ilala, Dar es salaam na sherehe kufanyika ukumbi wa Waterfront

Viatu vya Glory na ua



Msimamizi wa Glory




Glory akipambwa salon

Glory akipambwa salon


Glory akipiga picha za mapozi


Glory akipiga picha za mapozi



Glory akipiga picha za mapozi



Glory akipiga picha za mapozi

Glory akionesha gauni lake la harusi












kaka akikubali kumkabidhi Glory kwa James

James akikabidhiwa Glory



James na Glory wakiwa kanisani







James akitoa ahadi ya kumuoa Glory

Glory akitoa ahadi ya kuolewa na James




Mchungaji akiombea na kuonesha pete za maharusi

James akimvisha Glory  pete


Glory akimvisha james pete


Maharusi wakiombewa na wachungaji



James akiweka saini cheti cha ndoa

Glory akiweka saini cheti cha ndoa

Msimamizi wa kiume akiweka saini cheti cha ndoa

Msimamizi wa kike akiweka saini cheti cha ndoa


James akikabidhiwa cheti cha ndoa na mchungaji

Maharusi wakionesha vyeti vyao vya ndoa

wazazi wa bwana harusi na maharusi

wazazi wa bi harusi


 maharusi wakiwa na furaha ndani ya gari

maharusi wakiwa katika pozi


maharusi wakiwa katika pozi


maharusi wakiwa katika pozi


Bi. harusi akiwa na marafiki zake


maharusi wakiwa katika pozi



Add caption

Wazazi wa Bwana harusi, James




maharusi wakiwa katika pozi


waharusi wakipeana busu

maharusi wakiwa na wasimamizi wao


Bi harusi na rafiki zake


Bi harusi akiwa amebebwa


ukumbini

cake ya harusi



champagne ikifunguliwa

maharusi wakigongeana champagne

maharusi wakinyweshana champagne

maharusi wakigongeana na wasimamizi wao

maharusi wakikata cake


James akimlisha Glory cake

Glory akimlisha James cake

Ndafu

wazazi wa james wakikata ndafu



James akilishwa ndafu

Glory akilishwa ndafu

Matunda

maharusi wakichukua chakula


James akimlisha mke wake


Glory akimlisha mme wake

James na Glory wakila tunda kwa pamoja

Wazazi wa bwana harusi

Dada yake na Bi harusi


maharusi wakiwa katika pozi



maharusi wakiwa katika pozi




Maharusi na wasimamizi wao













maharusi wakiwa na wanakamati


maharusi wakitoka ukumbini

Add caption

No comments:

Post a Comment