Friday, September 20, 2013

Harusi ya Joseph John na Diana Philipo iliyofanyika tar 14/09/2013 kanisa la Nayoth Assemblies of God na sherehe katika ukumbi wa Rombo Green View

Bwana harusi Joseph na Diana katika pozi



Bwana harusi Joseph na Diana katika pozi

Ua la Bi harusi Diana

Diana akitengenezwa salon


Diana akitengenezwa salon

Diana akiwa amevishwa shela lake


Diana akiwa amepozi

Diana na wasimamizi wake

Diana na wasimamizi wake


Diana na wasimamizi wake

Diana akionesha mtandio wake

Diana na matroni wake

Joseph na Diana  na wasimamizi wakiwa mbele ya mchungaji

Joseph akiwa anatoa ahadi

Diana akiwa anatoa ahadi

Joseph akionesha pete atakayomvisha Diana

Pete kwa karibu

Diana akionesha pete atayomvisha Joseph

Pete kwa karibu

Joseph akimvisha pete Diana




Diana akimvisha pete Joseph



Joseph na Diana wakiombewa na wachungaji


Joseph akisaini cheti cha ndoa

Diana akisaini cheti cha ndoa

Joseph wakiwa na wazazi wa pande zote mbili

Joseph na Diana wakiwa na wachungaji na wazazi

Joseph na Diana wakiwa na wasimamizi

Joseph na Diana wakiwa katika pozi


Joseph na Diana wakiwa katika pozi


Joseph na Diana wakiwa katika pozi

joseph na Diana wakiwa na wazazi pande zote mbili

joseph na Diana waki na wasimamizi wao

joseph na Diana waki na wasimamizi wao







Joseph na Diana wakiwa katika pozi


joseph akiwa anambusu mke wake Diana



Diana akiwa katika pozi



Joseph na Diana wakiwa na furaha


Bestman akiwa akiwa katika pozi

Bestman na matroni

Matron


Joseph akiwa amebebwa na dada zake na mke wake




Maharusi wakiwa na best man na matroni




ukumbini

cake

joseph na Diana wakiwa na wanakamati

Joseph akimtambulisha mke wake

Diana akimtambulisha mume wake



wakikata cake


Diana akimlisha cake mume wake joseph

Joseph akimlisha cake mume wake Diana


wakinyweshana champagne


waalikwa wakicheza ukumbini


joseph anapewa zawadi ya ngao na mkuki na baba mzazi









mwenyekiti wa kamati na wanakamati


Wazazi wa pande zote mbili na wasimamizi

Joseph akiwa na Bibi zake kizaa baba na mama


Joseph na Diana wakiaga kutoka ukumbini

No comments:

Post a Comment