Wednesday, July 10, 2013

Harusi ya Simon (Balozi) na Happy Tarimo iliyofanyika tarehe 6/7/2013 kanisa la K.K.K.T Kimara Korogwe na sherehe kufanyikia ukumbi wa La dariot Mbezi Inn, Dar es salaam

viatu vya bi harusi Happy 



Ua la Bi harusi


Bwana harusi Simon akimvisha pete Bi harusi Happy 

Bi harusi Happy akimvisha pete Bwana harusi Simon

Mchungaji akiwaunganisha maharusi

sehemu ya maharusi ukumbini


Ukumbini

cake ya maharusi

maharusi wakionesha pete zao 

Bi harusi akiwa saloon


Bi harusi akiwa saloon


Bi harusi akiwa saloon


Bi harusi akiwa saloon

Bi harusi akiwa akiwa na wasimamizi

Bi harusi akiwa akiwa na wasimamizi

Bi harusi akiwa akiwa na matron wake


Bwana harusi Simon (Balozi) akiwa amepozi

Bwana harusi Simon akiwa na msimamizi wake

maharusi wakiingia kanisani

Maharusi wakifatilia misa kanisani

Maharusi wakifatilia misa kanisani


Mchungaji akiiombea pete 

bwana harusi Simon akimvisha pete Bi harusi Happy

Bi harusi Happy akimvisha pete Bwana harusi Simon

Bwana harusi akitoa ahadi ya ndoa

Bi harusi akitoa ahadi ya ndoa

Mchungaji akiwaombea maharusi


Bwana harusi Simon (Balozi) akisain cheti cha ndoa

Bi harusi Happy akisain cheti cha ndoa

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

Mzazi wa bwana harusi akiongea kanisani

maharusi wakionesha cheti cha ndoa

maharusi wakionesha cheti cha ndoa cha kanisa

maharusi wakionesha pete zao


maharusi na wasimamizi wao

Bi harusi akiwa katikati ya mabibi 

maharusi na wazazi wao

wasimamizi katika pozi

bi harusi Happy katika pozi

maharusi wakiwa katika pozi


maharusi wakiwa katika pozi

Maharusi na wasimamizi wao katika pozi

bi harusi Happy

Maharusi wakiingia mlangoni kwa kuruka ufagio

Maharusi wakiingia mlangoni kwa kuruka ufagio

Muziki


Muziki





Muziki


Muziki


cake

maharusi wakikata cake

Bwana harusi akimlisha cake mke wake 

Furaha baada ya cake


Furaha baada ya cake

Bi harusi akimlisha cake bwana harusi Simoni

champagne ikifunguliwa

Bi harusi akimimina champagne


Maharusi na wasimamizi wao wakiinua champagne zao

Maharusi wakigonganisha champagne

Bwana harusi akimpiga busu mke wake

maharusi wakiwa wamepozi


maharusi wakiwa wamepozi

Ndafu

wazazi wa Bi harusi wakikata Ndafu

Maharusi wakiwa na furaha

Maharusi wakilishwa Ndafu na wazazi

Maharusi wakipakua chakula na wazazi wao


Maharusi wakiwa na furaha


maharusi wakiwa na furaha


Maharusi wakiwa na furaha

Bwana harusi akimuimbia mke wake wimbo

Maharusi wakiwa wanaimba pamoja


Maharusi wakiwa wanaimba pamoja


Maharusi wakiwa wamepozi na Mapacha

wanakamati na maharusi

maharusi wakikabidhiwa zawadi na wanakamati

Maharusi wakionesha walichokabidhiwa

maharusi wakiwa katika pozi

bwana harusi akiwa amevaa kofia ya bibi yake

bwana harusi akiwa amevaa kofia ya bibi yake

maharusi wakiwa na furaha

maharusi wakiwa na furaha

Bwana harusi akiwa anaimba na bendi ukumbini

Maharusi wakiondoka ukumbini


Maharusi wakiondoka ukumbini

No comments:

Post a Comment