Sunday, March 17, 2013

Harusi ya Harun na Azora iliyofanyika tar 16 march 2013 na sherehe kufanyikia Water Front

Azora  akiwa katika furaha













Maharusi, Harun na Azora



Harun na Azora wakiwa kwenye furaha









Azora akiwa na msimamizi wake

Harun akiwa na msimamizi wake Loway









Bwana harusi na BI harusi wakiingia ukumbini

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

maharusi wakinyweshana kinywaji


maharusi na wasimamizi wakigongeshana glasi za vinywaji

No comments:

Post a Comment