Bi. harusi Mariam Abdi khamis akiwa saluni |
Bi.Mariam akiwa ametulia |
Bi. Mariam akiwa anatengenezwa nywele saluni |
Mariam akiwa na pozi la furaha |
mariam akiwa ndani ya vazi la Ndoa |
mariam akiwa na furaha |
Bi. Harusi Mariam Abdi khamis akiwa na mdogo wake |
Bi. Maria akiwa na Rafia, hasna na matroni wake Mrs. Mwanaidi Kimaro |
Bi. harusi Mariam Abdi khamis akiwa na mama yake mzazi Ziana Said |
Baba wa bi. Harusi, Abdi khamis akikabidhi binti yake kwa bwana Selemani Ally |
Selemani Ally akikubali kumpokea Bi. Mariam kutoka kwa baba mzazi |
Bwana harusi Selemani akiwa anafurahi na mke wake Mariam |
Bwana Selemani akipiga busu |
Bi.Mariam akifurahia busu la mme wake Selemani |
Bi. Mariam akionesha mapambo ya michoro yake |
Mariam na Selemani wakiwa wamepozi |
Mdogo wake Bi. harusi, Hasna abdi khamis |
wadogo wa Bi. harusi, Rafia na Hasna |
Watoto wakiwa katika Maulidi na Dua |
Watoto wakiwa katika Maulidi na dua |
watoto wakiwa katika Maulidi na Dua |
Bi. Mariam siku ya Maulidi na Dua |
Bi Mariam akiwa na mama yake mzazi Ziana |
Mama mzazi Ziana akiwa na Mariam na Hasna |
Mariam akiwa katika pozi |
Selemani na mariam wakiwa katika pozi siku ya maulidi na dua |
picha ya pamoja Mariam akiwa na wazazi wake na mme wake siku ya maulidi na dua |
Mariam akiwa amepozi siku ya maulidi na dua |
No comments:
Post a Comment