Sunday, December 30, 2012

Harusi ya Albert francis mballa na Irene mbonea mshana iliyofanyika tar 29 dec 2012 kanisa la Magomeni na sherehe kufanyikia Brajec Club, Mikocheni

Kiatu cha bi harusi Irene



Irene na msimamizi wake

Irene akiwa ametulia

Irene akijiandaa kwenda kanisani

Irene akijiandaa kwenda kanisani

Irene akifatilia mahubiri ya mchungaji

Albert akifatilia mahubiri ya mchungaji


Albert na Irene wakionesha pete

Pete zikiombewa

Albert akimvisha Irene pete



Irene akimvisha pete Albert

mchungaji akiwaombea maharusi




Albert akisaini cheti cha ndoa

Irene akisaini cheti cha ndoa

Maharusi wakipokea vyeti vya ndoa


maharusi wakionesha pete zao za ndoa

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao











Albert na Irena wakiwa na wazazi wao







Cake ya harusi

Maharusi wakikata cake

Irene akimlisha mme wake Albert cake

Albert akimlisha mke wake cake

Albert na Irene wakicheza mziki

Albert na Irene wakicheza mziki

Albert na Irene wakicheza mziki

Albert na Irene wakicheza mziki

Albert na Irene wakicheza mziki

No comments:

Post a Comment