Monday, September 7, 2015

Harusi ya Bakari Diawara na Munira Ebrahim, Ndoa ilifungiwa katika msikiti wa Masjid Fallah na sherehe kufanyika Mirado Social Hall, na warima kufanyika Oysterbay, Dar es salaam tar 6/7/8/2015

Msikitini wakati wa ndoa